Home > Terms > Swahili (SW) > utamaduni kubwa

utamaduni kubwa

Utamaduni kubwa katika jamii inahusisha kuimarika kwa lugha, dini, tabia, maadili, mila na desturi za jami Sifa hizi mara nyingi ni kawaida kwa jamii kwa ujumla. Utamaduni mkubwa huwa kawaida lakini si mara zote katika wengi na hutimiza utawala wake kwa kudhibiti taasisi za kijamii kama vile mawasiliano, taasisi za elimu, kujieleza kisanii, sheria, mchakato wa kisiasa, na biashara.

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Culture
  • Category: Social media
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: New year

azimio ya mwaka mpya

Azimio ya mwaka mpya ni ahadi ambayo mtu hufanya kwa lengo moja au zaidi ya kibinafsi, miradi, au kuleta mageuzi ya tabia. Hii mabadiliko ya maisha ...

Contributor

Featured blossaries

World War II Infantry Weapons

Category: History   2 22 Terms

Interesting facts about Russia

Category: Geography   1 4 Terms