Home > Terms > Swahili (SW) > Dishi

Dishi

Dishi ni sahani ya kupakulia vyakula kama vile supu au mchuzi, mara nyingi kuundwa kama chombo pana, nene, mviringo na kono ya kudumu na chini kifuniko ya kuba na kidude au kono. Dishi zinaweza kuwa ya kauri-ama udongo iliyong'arishwa uitwaye faience au porcelain au fedha, na kijadi kusimama juu ya sinia ya chini au sahani iliyoundwa sw Suite.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Thanksgiving

Sikukuu ya kutoa shukrani

Sikukuu ya kutoa shukrani ni kauli maarufu inayotumiwa na watu kuadhimisha likizo ya Sikukuu ya Shukrani. Shukrani ni sherehe hasa katika United ...

Featured blossaries

Nokia Fun Facts

Category: Other   1 6 Terms

Indonesian Food

Category: Food   2 11 Terms