Home > Terms > Swahili (SW) > T-bone steak

T-bone steak

T-mfupa na Porterhouse ni nyama bila mfupa iliyokatwa kutoka kwa nyama ya ng'ombe. Ni mfupa wenye umbo la T na nyama kwa kila upande. Upande kubwa ni vua ya nyama bila mfupa, ambayo ni kutoka shuka fupi, ambapo upande mdogo una shuka tefu. Nyama bila mfupa ya porterhouse ni hukatwa kutoka mwisho ya nyuma ya shuka fupi na vyenye sehemu kubwa ya shuka tefu. Nyama bila mfupa ya T-mfupa hukatwa kutoka mbele kabisa katika shuka fupi na vyenye sehemu ndogo sana ya shuka tefu.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 12

    Followers

Industry/Domain: Communication Category: Postal communication

deltiology

Deltiology inahusu ukusanyaji na masomo ya Postikadi, kwa kawaida kama hobi.

Featured blossaries

Asia Cup 2015

Category: Sports   2 10 Terms

Playing RPG Games

Category: Entertainment   1 1 Terms