Home > Terms > Swahili (SW) > kuongoza kutoka nyuma

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.

Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 3

    Followers

Industry/Domain: People Category: Musicians

John Lenon

John Lennon, (Oktoba 9, 1940 - 8 Desemba 1980) alikuwa mwanamuziki sherehe na ushawishi mkubwa na mwimbaji-mtunzi ambao kufufuka kwa umaarufu duniani ...

Contributor

Featured blossaries

WAGO

Category: Technology   1 1 Terms

Herbs and Spices in Indonesian Cuisine

Category: Food   1 10 Terms